Joshua 5:2-3

2 aWakati huo Bwana akamwambia Yoshua, “Tengeneza visu vya mawe magumu sana na uwatahiri Waisraeli tena.” 3Kwa hiyo Yoshua akatengeneza visu vya mawe magumu sana na kutahiri Waisraeli huko Gibeath-Haaralothi.
Gibeath-Haaralothi maana yake ni Kilima cha Magovi.

Copyright information for SwhKC